Mrembo Apotea Katika Mazingira ya Kutatanisha Baada ya Kwenda Kuombewa

Binti aitwaye Elizabeth Matei (26) anadaiwa kupotea tangu tarehe Julai 4, 2025 mara baada ya kuondoka nyumbani kwao eneo la Mbande Msewe, jijini Dar es Salaam. Akizungumza na Global TV, mama wa binti huyo, Eliza, amesema siku hiyo Elizabeth aliaga…








