MUSTAFA MCHEZAJI WA BUFFALO FC ASEMA: METCH DHIDI YA ALLIANCE ILIKUA NGUMU – WALIJIPANGA VIZURI

Mustafa, kiungo mahiri wa Buffalo FC, amefunguka baada ya mechi dhidi ya Alliance FC, akieleza kuwa ilikuwa changamoto kubwa kwao kutokana na maandalizi na nidhamu ya wapinzani wao. Alieleza kuwa Alliance walicheza kwa umakini mkubwa, wakizuia mashambulizi na kulazimisha Buffalo…