Kanuni za Nelson Mandela zachukua sehemu muhimu katika marekebisho ya adhabu nchini Ufilipino.

Kanuni za Nelson Mandela, ambazo zimepewa jina la rais wa zamani wa Afrika Kusini ambaye aliwekwa kizuizini isivyo haki kwa miaka 27, zinachukua sehemu muhimu katika jela na marekebisho ya adhabu nchini Ufilipino. Leo ikiwa ni Siku ya Kimataifa ya…