Watangazaji wa Mjini Fm Kufungiwa na Bodi ya Ithibati

“Watangazaji hao hawajasajiliwa na kupewa Ithibati na Bodi, hivyo wanafanya kazi za kihabari kinyume na Kifungu cha 19 cha Sheria ya Huduma za Habari, Sura ya 229 (Toleo la 2023);Watangazaji hao walikiuka haki ya faragha na kutweza utu wa mhojiwa kwa…