Yanga Na TANESCO Waligharamia Mazishi Ya Shabiki Aliyefariki Kwa Shoti Ya Umeme Uwanjani Mkapa

Shabiki wa Yanga kutoka jijini Mbeya, Herman Sungura, aliyefariki dunia Machi 8, 2025, katika Uwanja wa Benjamin Mkapa jijini Dar es Salaam kwa kudaiwa kupigwa na shoti ya umeme, aliagwa jana katika Hospitali ya Polisi Kurasini. Klabu ya Yanga ilieleza…