Category Michezo

Msafara Wa Twende Butiama 2025 Wahitimishwa

Washiriki wa Msafara wa Twende Butiama 2025 wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kuhitimisha safari yao wilayani Butiama mkoa wa Mara eneo ambalo amezikwa Hayati Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Kambarage Nyerere. Msafara huu umefadhiliwa na Vodacom Tanzania Plc…

Bryan Mbeumo Atua Man United kwa dau la pauni milioni 65

Manchester United imefikia makubaliano na Brentford kumsajili winga wa kimataifa wa Cameroon, Bryan Mbeumo, kwa dau la pauni milioni 65, linaloweza kupanda hadi pauni milioni 70 kutokana na nyongeza ya pauni milioni 5. Mbeumo, mwenye umri wa miaka 25, anatarajiwa…

Lamine Yamal mashakani kuhusiana na mzozo wa walemavu .

izara ya Haki za Kijamii ya Uhispania imeitaka ofisi ya mwendesha mashtaka wa nchi hiyo kumchunguza winga wa Barcelona Lamine Yamal baada ya kuripotiwa kuwaajiri watu wenye ulemavu kutumbuiza kwenye sherehe yake ya kutimiza miaka 18. Lamine Yamal aliandaa karamu…

Tetesi za soka Ijumaa: Wissa anapendelea kuhamia Tottenham

Mshambuliaji wa Brentford Yoane Wissa angependelea kumfuata meneja wa zamani wa Bees Thomas Frank kwenda Tottenham, licha ya Newcastle United kuonyesha nia ya kumnunua mchezaji huyo wa kimataifa wa Jamuhuri ya Kidemokrasi ya Congo (DRC), 28. (Talksport) Everton wamewasilisha ombi…