Sakata la Rasilimali za CHADEMA: Mawakili Wadai Msajili Amepotosha Hukumu

Mawakili wa Bodi ya Wadhamini wa CHADEMA na Katibu Mkuu wa chama hicho wamepinga vikali ‘uhalali’ wa barua iliyoandikwa na Msajili wa Mahakama ya Tanzania kwenda kwa Mawakili wa Saidi Issa Mohamedi, na wenzake wawili inayolenga kufafanua kuhusiana na uamuzi…