Mavambo: Shukrani Kwa Familia Ya Simba – Nitawakumbuka Milele

Kiungo fundi wa kimataifa, Debora Fernandes Mavambo (24), mwenye uraia pacha wa Congo-Brazzaville na Gabon, ameaga rasmi klabu ya Simba SC, takribani mwaka mmoja tu tangu asajiliwe kwa mkataba wa miaka mitatu akitokea Mutondo Stars ya Zambia. Mavambo ambaye anachezea…








