Tanzania kuwa na mashirika ya umma yenye ushindani ifikapo 2050

Dar es Salaam. Ifikapo mwaka 2050, Tanzania inajiona kuwa na Mashirika ya umma ya kibiashara yanayoendeshwa kwa uwazi na ushindani, yanayojitegemea na yenye kuleta faida, na yanayovutia uwekezaji huku yakishirikiana kikamilifu na sekta binafsi ili kukuza uchumi. Dhamira hii imeainishwa…



