Ethiopia yasema imewakamata wanachama wa ISIS waliopata mafunzo nchini Somalia

Mamlaka nchini Ethiopia imetangaza kuwakamata washukiwa 82 wa kundi la Islamic State, ambao waliripotiwa kuwa wamepewa mafunzo ya kutekeleza mashambulizi ya kigaidi nchini humo. Taarifa iliyotolewa na Shirika la Kitaifa la Ujasusi na Usalama la Ethiopia (NISS) Jumatatu ilisema watu…






